Miss Mbeya Member Joined Mar 2, 2020 Posts 18 Reaction score 15 Jul 6, 2023 Thread starter #2 Miss Mbeya said: Lengo lenu ni kuvuruga watu na hizo comments zenu au? Click to expand... Kuna sehem mmeona nimeweka hiyo bei
Miss Mbeya said: Lengo lenu ni kuvuruga watu na hizo comments zenu au? Click to expand... Kuna sehem mmeona nimeweka hiyo bei
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,059 Reaction score 132,509 Jul 6, 2023 #3 Muuzaji hajaweka bei watu mshamsemea bei duh Ova
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,657 Reaction score 19,274 Jul 6, 2023 #4 Miss Mbeya said: Kuna sehem mmeona nimeweka hiyo bei Click to expand... Hio nyumba nzuri hivyo unauza laki5 aah em kuwa serious mkuu
Miss Mbeya said: Kuna sehem mmeona nimeweka hiyo bei Click to expand... Hio nyumba nzuri hivyo unauza laki5 aah em kuwa serious mkuu
K kiumbempole JF-Expert Member Joined Jan 15, 2016 Posts 672 Reaction score 1,107 Jul 6, 2023 #5 Nawaelewa wachangiaji. Muuzaji hakuweka bei kwenye tangazo lake, wanamkumbusha kwa njia ya sacarsm
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,545 Reaction score 105,281 Jul 6, 2023 #6 Nimeijiskia huruma sana aiseeeee
Kasiano Muyenzi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 13,972 Reaction score 22,922 Jul 6, 2023 #7 $500k ama Tsh 500k or ksh 500k?
spodo Senior Member Joined Feb 22, 2009 Posts 100 Reaction score 80 Jul 6, 2023 #8 Video haitaki kucheza. Km unaweza naomba nitumie picha au video kwny message humu jf
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,701 Jul 6, 2023 #9 spodo said: Video haitaki kucheza. Km unaweza naomba nitumie picha au video kwny message humu jf Click to expand... Au acheze mwenyewe... joke😜😜
spodo said: Video haitaki kucheza. Km unaweza naomba nitumie picha au video kwny message humu jf Click to expand... Au acheze mwenyewe... joke😜😜
tycoonff JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 928 Reaction score 1,310 Jul 6, 2023 #10 Miss Mbeya said: Nauza nyumba yangu ipo jijini Mbeya, maeneo ya veta ina nyaraka zote sifa zake: 1. Vyumba 4 kimoja master 2. Store 3. Jiko 4. Sebure kubwa 5. Dinning 6. Corridor 7. Public toilet Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa no 0716142540 Bei million 55 View attachment 2680230 Click to expand... Video haiplay
Miss Mbeya said: Nauza nyumba yangu ipo jijini Mbeya, maeneo ya veta ina nyaraka zote sifa zake: 1. Vyumba 4 kimoja master 2. Store 3. Jiko 4. Sebure kubwa 5. Dinning 6. Corridor 7. Public toilet Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa no 0716142540 Bei million 55 View attachment 2680230 Click to expand... Video haiplay
Miss Mbeya Member Joined Mar 2, 2020 Posts 18 Reaction score 15 Jul 7, 2023 Thread starter #11 spodo said: Video haitaki kucheza. Km unaweza naomba nitumie picha au video kwny message humu jf Click to expand...
spodo said: Video haitaki kucheza. Km unaweza naomba nitumie picha au video kwny message humu jf Click to expand...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,155 Reaction score 185,435 Jul 7, 2023 #12 Ahsante kwa taarifa...