Hebu weka picha mkuu tujichange.Nyumba iko nyasubi kahama ,INA vyumba vitano vya kulala na sebure moja, pia maji, umeme vinapatikana ,Ina fance ya vyumba vingine kwa nyuma ambayo imekomea kwenye lenta , eneo zima ni nusu heka , serious buyer n PM Tuongee bei ni ( milioni 16) tumeshusha price generally .
Sent using Jamii Forums mobile app