House4Sale Nauza nyumba Chanika mwisho. Sh. Mil 22, ina vyumba 3 vya kulala

House4Sale Nauza nyumba Chanika mwisho. Sh. Mil 22, ina vyumba 3 vya kulala

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
604
Reaction score
1,236
1742793358134.jpg
1742793361272.jpg
1742793370934.jpg


Nyumba inauzwa chanika mwisho mtaa wa kimwani kwa milion 22,
Ina v3 kimoja masta pablic toilet jiko dining na sebule umeme tayari, eneo square mita 400 ipo mbele ya barabara ya mtaa.
Call 0743 257 669
Nichek WhatsApp View James Construction and real estate company's Catalog on WhatsApp

1742793364822.jpg
 
Uko chin ya bei , pole mkuu yawezekan ni challenge ume face 🍋‍🟩🤢
 
Ka 🏠 kako 🔥🔥🔥.
Ngoja wenye mpunga waje.
 
I wish ningejua kati ya nyumba inayouzwa na hilo pagale jirani, ni nano aliyeanza kujenga! Maana sijona kabisa mantiki ya kujenga karibu hivyo, huku kiwanja kikiwa na sqm 400!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom