Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
Acha utani,je ukipewa kiwanja utakataa?
Mie hata waseme wananipa bure afu huyo aliyenipa niwe namtandika viboko sita kila asubuhi, bado ntakataa tu
Acha utani,je ukipewa kiwanja utakataa?
You are not serious!Mie hata waseme wananipa bure afu huyo aliyenipa niwe namtandika viboko sita kila asubuhi, bado ntakataa tu
Lakini unaweza kujikinga dhidi ya Jua,Mvua na baridi!Imekaa kama jela!!