aweeeee basi tunasaini moja kabla ya kiko then hati ya pili itafuata baad ya kutosheka udambwi udambwi ya mjukuu wako🤗😊Uje naye tu huyo Mwanasheria, ila kwa Ile Kiko Cha moto ulichonihaidi nitakuwa tayari kukupatia mbili hizo hati 🤗
Hahaha.......utanikuta nakusubiri hapa nyumbaniaweeeee basi tunasaini moja kabla ya kiko then hati ya pili itafuata baad ya kutosheka udambwi udambwi ya mjukuu wako🤗😊
Usikatae mwanetu.Bila shaka hapo namba 5 unamaanisha tiles na sio tyres.