Nauza Nokia C3-00

Nauza Nokia C3-00

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,121
Reaction score
14,032
Habari wana jf
Nauza simu ya Nokia C3-00....ni nzuri bado imetumika miezi 2....
Bei sema yako ikiniridhisha nakutoa..nipo dsm
 
Hili tangazo bila picha na bei basi tangazo hili linakua Kama udaku
 
Weka picha tuione !! Acha kuuzia mbuzi kwa gunia ?? Au ni haram
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom