MIMI NA TZ
Senior Member
- Apr 22, 2014
- 197
- 18
Mkuu shusha kidogo hii kwenye daladala haiwezi bei hiyo ya daladala.
Mimi nilifikiri Noah nyama ningekuchek fasta
Samahani mkuu kwa usumbufu nilikuwa natania tuu.Hi=ongera kwa uvumilivu una deserve kuwa mfanyabiashara maana mwingine angeniporomoshea mvua ya matusiHapana kaka, hii ni Gari