Nauza nissan xtrail bei rahisi

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Gari iko kwenye hali nzuri
Haidaiwi wala haijawahi kupigwa rangi
Automatic gear
4wd
Petrol engine
Bei ni mil6, maongezi kidogo yapo
Njoo 0763969066 tuzungumze
Gari iko dar kigamboni
 
Oh vizuri...... Sasa funguo thread yako ujitangaze unaziuza mpya kwa hiyo bei
 
Ilaya ukitaka kununua gari lazima uangalie imetengenezwa mwaka gani plus vigezo vyako vingine, lakini bongo, unaambiwa ina hali nzuri.
Bora la mwaka jana lisilo kwenye hali nzuri kuliko la 2005 lililo kwenye hali nzuri
 
Mkuu ushauri wangu ni nenda kaoshe engine hio ili iwe kwenye muonekano mzuri..maana ni chafu sana pia weka cover za chini ya engine ili iache kua inachafuka...
 
Kazi yangu mimi ni kutoa taarifa sahihi kwa wakati. Nothing personal
 
Ila Watanzania tuna kauzembe na kaujinga.
Gari ikishatumika miaka zaidi ya 5 Tz hutakiwi inunua hata kwa nusu bei bora uvute waya ije kwa meli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…