Nauza nguo za mtumba za watoto

Nauza nguo za mtumba za watoto

miss IQ

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
849
Reaction score
1,200
Habari ,nina mzigo wa nguo za watoto(kiume na kike) mtumba kuanzia miaka 0 - 12 , nauza kwa bei ya jumla (400 per pc).
Wazoefu wanaita mzigo wa kushusha.
Bado haujapoa kwa wauzaji wa minadani unafaa zaidi,
Location : dar es salaam manzese
Mawasiliano : 0754514915
Karibuni sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom