Nauza ng'ombe

egentle

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
808
Reaction score
392
Huyu hapo pichani, laki 9 lakini maelewano yapo, ni pm tufanye biashara.
 
Kill 3
Mkuu biashara hyo tuzungumze
 
Last edited by a moderator:
basi huna bahati mimi npo temeke unaweza kumleta tumcheki kwanza
 
basi huna bahati mimi npo temeke unaweza kumleta tumcheki kwanza

Kama upo silias biashara inafanyika. Kama tukielewan bei nakuletea , nimewek picha kama usibitisho ili ukilizka tufanye biashara
 
Kama upo silias biashara inafanyika. Kama tukielewan bei nakuletea , nimewek picha kama usibitisho ili ukilizka tufanye biashara
mkuu unachukua laki tano cash pamoja na usafiri wa kumleta kwa sababu amekonda sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…