dorcas_eliud
Member
- Sep 25, 2018
- 23
- 13
-Mpunga kiasi gani?Habari wana jf
Nauza mpunga wangu ambao natarajia kuvuna jumapili hii...
Kama unahitaji tuwasiliane 0712718228
Gunia pesa ngap na upo wapHabari wana jf
Nauza mpunga wangu ambao natarajia kuvuna jumapili hii...
Kama unahitaji tuwasiliane 0712718228
-Mpunga kiasi gani?
-Uko wapi?
-Bei gani?
Weka wazi hayo mambo kila mtu ajue anaazia wapi kukutafuta
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hiyo sarakasiTaja bei kwa gunia la debe 10 na upo wapi.
Vinginevyo unachofanya ni sawa na kuruka sarakasi kwenye transfoma
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hiyo sarakasi
Ndyo, mwenzangu, hulali tuu ?Naona Umeibukia Huku Mzee Mwenzangu..
Ndyo, mwenzangu, hulali tuu ?
Wewe Mollel ?Habari wana jf
Nauza mpunga wangu ambao natarajia kuvuna jumapili hii...
Kama unahitaji tuwasiliane 0712718228
Umeamkaje mzee mwenzangu?Nasubiria Kuambiwa Usiku Mwema na Wewe Mzee Mwenzangu..