Nauza mkaa kwa bei ya jumla

Nauza mkaa kwa bei ya jumla

CHAPKIA

Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
13
Reaction score
0
Nauza mkaa kwa bei ya jumla, mkaa una ujazo wa mbavu mbili, mkaa unatokea kusini bei kwa gunia ni 45,000.

Kwa atakayenunua kuanzia gunia tano ataletewa mpaka alipo, kwa anaehitaji anaweza nipata kwa namba hii 0714 407095 au 0764 566 124.

Unaweza pia ukanisaidia kutafuta wateja na ukapewa commission kwa mauzo utayofanya.

Mkaa upo tabata.
 
Unaweza.kuweka picha ya hilo gunia mm nahitaji gunia 10 nipo kitunda na pia utapata na wengine..nipm.number yako
 
Back
Top Bottom