Nauza mkaa kwa bei ya jumla

Nauza mkaa kwa bei ya jumla

UPDATE
Kutokana na price competition, nimeamua kupunguza price ya mkaa wangu kwa TZS 4000/=.
So, Bei mpya ya mkaa ni TZS 23,000/= Tu.
More information...? Njoo PM (uwe serious)

Ni mkaa wa Njombe
Bei ni TZS 27,000 kwa gunia moja.
Mkaa unawaka vizuri.
Bei itapungua endapo mteja atahitaji gunia zisizo pungua 10.
Gharama ya usafiri itamuhusu mteja.
Napatikana
Mkoa: DAR ES SALAAM,
Wilaya: Kinondoni,
Kata: Kigogo
Mtaa: Mkwajuni
Kwa mawasiliano zaidi njoo PM.

View attachment 1287744
Ujazo mdogo huu ukiuza upati faida
 
Ujazo mdogo huu ukiuza upati faida
Sio kweli..
Kwa huku kwetu.
Roba moja hutoa ndoo ndogo nzima si chini ya 15, na ndoo ndogo iliyokatwa hutoka 17. Ila ukitaka kuwapunja wateja utapata ndoo nyingi zaidi ila utapoteza wateja wengi zaidi.
Ndoo ndogo huuzwa TZS 2,000/=
Chukua 2000*15= 30,000/=
So, faida ni TZS 7,000/= Kwa kila roba
Ili ufaidike na hiyo faida, itategemea utauza roba ngapi kwa siku.
Hizo hesabu niza uhakika, nimethibitisha practically.
 
Nauza mkaa bei ya Jumla kutokea Njombe, nasafirisha kutokea njombe kuja Dar oda ya chini ni kuanzia gunia 50 kupanda juu,

Aliyetayari tuwasiliane PM
IMG_20200605_080616.jpg
IMG_20200605_080621.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom