JACKBIZZO Member Joined Jul 11, 2013 Posts 83 Reaction score 12 Nov 27, 2013 #1 wadau natafta mteja wa miti milingoti wizuli kwa nguzo na matumizi mengine bei maelewano, kwa mawasiliano +254726262660 au utaliijackson@yahoo.com
wadau natafta mteja wa miti milingoti wizuli kwa nguzo na matumizi mengine bei maelewano, kwa mawasiliano +254726262660 au utaliijackson@yahoo.com
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,366 Reaction score 3,561 Nov 28, 2013 #2 Ilikua naa ndika namba yako nilipoona inaanzia na 254 nikachefukwa na moyo
Black Hawk JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 620 Reaction score 130 Nov 28, 2013 #3 Naiihitaji unapatikana wapi?
JACKBIZZO Member Joined Jul 11, 2013 Posts 83 Reaction score 12 Nov 28, 2013 Thread starter #4 for this tym niko NAIROBI KENYA ila narudi TZ after one month na miti iko IRINGA
N ngerebe Member Joined Nov 15, 2013 Posts 17 Reaction score 1 Dec 2, 2013 #5 JACKBIZZO said: for this tym niko NAIROBI KENYA ila narudi TZ after one month na miti iko IRINGA Click to expand... Safi sana nami nazihitaji pia ila bei ziwe pia yaweza kuridhisha ntakutafuta sm yako nimeandika nadhani kuanzia wiki ijayo shukran
JACKBIZZO said: for this tym niko NAIROBI KENYA ila narudi TZ after one month na miti iko IRINGA Click to expand... Safi sana nami nazihitaji pia ila bei ziwe pia yaweza kuridhisha ntakutafuta sm yako nimeandika nadhani kuanzia wiki ijayo shukran
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,372 Reaction score 5,124 Dec 3, 2013 #6 JACKBIZZO said: wadau natafta mteja wa miti milingoti wizuli kwa nguzo na matumizi mengine bei maelewano, kwa mawasiliano +254726262660 au utaliijackson@yahoo.com Click to expand... Mkuu, ongeza nyama kwenye tangazo lako ili watu tuingie tukiwa na uhakika wa kupata faida. Moja, miti iko mingapi, pili, hapo ilipo panafikika kwa gari kubwa la kubeba nguzo Tatu, je unaruhusu mtu akinunua akaiacha kwa muda kabla ya kuvuna?
JACKBIZZO said: wadau natafta mteja wa miti milingoti wizuli kwa nguzo na matumizi mengine bei maelewano, kwa mawasiliano +254726262660 au utaliijackson@yahoo.com Click to expand... Mkuu, ongeza nyama kwenye tangazo lako ili watu tuingie tukiwa na uhakika wa kupata faida. Moja, miti iko mingapi, pili, hapo ilipo panafikika kwa gari kubwa la kubeba nguzo Tatu, je unaruhusu mtu akinunua akaiacha kwa muda kabla ya kuvuna?