D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3,054 Reaction score 2,154 Oct 16, 2022 #1 Habari za wakati huu Wana JF. Leo nimerudi tena Ndugu Zanguni, Nauza Milango MITANO (5) ya MNINGA. Ni mipya kabisa, bei ni tsh Laki mbili na elf hamsini (250,000/=) kwa mlango MMOJA. Maongezi yapo KIDOGO. Napatikana TABATA KINYEREZI Dar Es Salaam Karibuni SANA 0768 838320. Kwa anayeitaji karibu sana kwa mawasiliano
Habari za wakati huu Wana JF. Leo nimerudi tena Ndugu Zanguni, Nauza Milango MITANO (5) ya MNINGA. Ni mipya kabisa, bei ni tsh Laki mbili na elf hamsini (250,000/=) kwa mlango MMOJA. Maongezi yapo KIDOGO. Napatikana TABATA KINYEREZI Dar Es Salaam Karibuni SANA 0768 838320. Kwa anayeitaji karibu sana kwa mawasiliano
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3,054 Reaction score 2,154 Oct 16, 2022 Thread starter #2 Milango bado inapatikana kwa bei tajwa hapo juu, Ipo TABATA KINYEREZI.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,175 Reaction score 196,908 Oct 16, 2022 #3 Ahsante kwa taarifa...
U umucyo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2020 Posts 846 Reaction score 736 Oct 16, 2022 #4 Weka na vipimo.
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,416 Reaction score 29,401 Oct 16, 2022 #5 Bei haina tofauti na kwa fundi tu.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,986 Reaction score 30,180 Oct 16, 2022 #6 Ncha Kali said: Bei haina tofauti na kwa fundi tu. Click to expand... Kabisa, Haishawishi hata
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,615 Reaction score 9,213 Oct 16, 2022 #7 Too much money.