Nauza microntrollers development kits

Nauza microntrollers development kits

mwaride

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
421
Reaction score
106
Wakuu Habari za huku? ni wazi kuwa upatikanaji wa microcontroller Ni changamoto hasa kwa wanafunzi na hobysist wanaotaka kuautomate vitu/shughuli mbalimbali! Lakini sasa ondoa shaka kwani Sasa ni kuprogram avr NINAIMPORT AVR MICRONTROLLERS, programmers na other electronics chips and components kwa bei nafuu sana. Pia nitajitahidi kutoa tutorials hapa kila ntakapopata muda. Sasa kudevelop na mcu ni rahisi Kwako, ushindwe wewe tuu. Karibuni

Contacts 0629052463, 0766423691
 
vipi PLC(programmable Logic Controllers nazo unazo mku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom