amani ya kweli
Senior Member
- May 2, 2015
- 149
- 17
Kwa Mawasiliano: 0768 638360
Karibu sana..
Karibu sana..
Upo wapi nahitaji
Yan anauza yeye halafu anauliza yeye kuwa yupo wapihahahaha..... mkuu, mbwa unauza wewe halafu we mwenyewe unahitaji??? hahaha, umeumbuka na multiple ID
Upo wapi nahitaji
chanjo zote wamepata, afya bora, mbegu bora, bei nzuri, pia tuna supply nyumba za KISASA za mbwa
Upo api
Duh....multiple ID syndrome???
Duh....multiple ID syndrome???
Duh....multiple ID syndrome???
Hehehehe umestukia ehh
ha ha ha...eti mpaka akajaza uzi!&Acha tu mkuu, JF ina vijimambo si mchezo
Asingekosea angejijibu mwenyewe si ajabu mpk kujaza uzi
Upo wapi nahitaji