J JBN Member Joined Mar 4, 2012 Posts 84 Reaction score 15 Jul 24, 2014 #1 Napatikana maeneo ya Mbezi ya Kimara, mbwa kapatiwa chanjo zote ni Dume. Kwa mawasiliano 0756 926 551. Bei ya mbwa ni Sh. 500,000/=
Napatikana maeneo ya Mbezi ya Kimara, mbwa kapatiwa chanjo zote ni Dume. Kwa mawasiliano 0756 926 551. Bei ya mbwa ni Sh. 500,000/=
kimpe JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 910 Reaction score 862 Jul 24, 2014 #2 Sifa za Ziada za huyo Mbwa kulinganisha na Tandale shepherd ni zipi
FLAVOR Senior Member Joined Jun 13, 2012 Posts 138 Reaction score 49 Jul 24, 2014 #3 JBN said: Napatikana maeneo ya Mbezi ya Kimara, mbwa kapatiwa chanjo zote ni Dume. Kwa mawasiliano 0756 926 551. Bei ya mbwa ni Sh. 500,000/=View attachment 172952View attachment 172953 Click to expand... Mkuu miezi mitano mbona kama wanaonekama wana umbo ndogo ama ni picha?, ama ni breed ya kawaida na german shephard?, mimi nina breed mix ridgeback na wakibongo miezi mitano lakini ukimwona utafikiri ana mwaka
JBN said: Napatikana maeneo ya Mbezi ya Kimara, mbwa kapatiwa chanjo zote ni Dume. Kwa mawasiliano 0756 926 551. Bei ya mbwa ni Sh. 500,000/=View attachment 172952View attachment 172953 Click to expand... Mkuu miezi mitano mbona kama wanaonekama wana umbo ndogo ama ni picha?, ama ni breed ya kawaida na german shephard?, mimi nina breed mix ridgeback na wakibongo miezi mitano lakini ukimwona utafikiri ana mwaka
A alikhalef JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 717 Reaction score 75 Jul 24, 2014 #4 JBN said: Napatikana maeneo ya Mbezi ya Kimara, mbwa kapatiwa chanjo zote ni Dume. Kwa mawasiliano 0756 926 551. Bei ya mbwa ni Sh. 500,000/=View attachment 172952View attachment 172953 Click to expand... bei zako zipo juu sanaaa. mm nataka dume na jike kwa 200,000/=
JBN said: Napatikana maeneo ya Mbezi ya Kimara, mbwa kapatiwa chanjo zote ni Dume. Kwa mawasiliano 0756 926 551. Bei ya mbwa ni Sh. 500,000/=View attachment 172952View attachment 172953 Click to expand... bei zako zipo juu sanaaa. mm nataka dume na jike kwa 200,000/=