Nauza mbegu za chia, kilo Tsh. 20,000/-

Nauza mbegu za chia, kilo Tsh. 20,000/-

aron lissu

Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
32
Reaction score
35
Habari Wana JF

Leo nataka niwaeleze juu ya mbegu hizi ambazo zinatatua matatizo mbali mbali kama vile kupunguza unene pindukia, kutatua matatizo ya presha, kisukari, mmeng'enyo wa chakula, kupunguza kitambi.

Mbegu hizi unaweza kuzitumia kwa kupika kwenye mboga kama vile maharage au ukachemsha ni nzuri na zinafanya kazi.

Atakaye hitaji kilo shilingi 20000.piga namb 0742289799

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kitu ina bei sana yaani hiyo elfu 20 ni sadaka

""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
 
Watu wengine aise! hivi mtu analeta habari nzuri alafu anaambulia kutukanwa? Jamani tuweni wastaarabu - hata kama mtu umevuta ya njombe usiilete hapa JF.
 
M nauza kwa jumla sh. 9,000/= tu. Karibuni nyote
Habari Wana jf Leo nataka niwaeleze juu ya mbegu hizi ambazo zinatatua matatizo mbali mbali km vile kupunguza unene pindukia,kutatua matatizo ya presha,kisukari,mmeng'enyo wa chakula, kupunguza kitambi.
Mbegu hizi unawez kuzitumia kwa kupika kweny mboga km vile maharage au ukachemsha ni nzuri na zinafanya kazi.
Atakaye hitaji kilo shilingi 20000.piga namb 0742289799

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom