Nauza mbao aina ya pines

Nauza mbao aina ya pines

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
habari, wakuu
nauza mbao aina ya pines,zipo mafinga natafuta mteja hasa dar es salaam bei ni nzuri.
zipo aina kama ifuatavyo; 1*8
2*4
2*6
2*3
1*6
1*4
2*2
karibu inbox ni kwa wateja walio serious.
 
Mambo vp mkuu, naomba bei zake. mimi natamani kufanya hio biashara ila bado napima maji

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom