Tumainiandy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 433
- 91
unga vipi mkuu hauna
Aisee! Nayo yanakuwa na fresh na mtindi, au? Yana expire baada ya muda gani?
Milk powder ya maziwa ya ngombe au soya?Milk Powder kwa sasa sina ila ipo katika mikakati ya kuitengeneza mkuu ikakamilika nitakujulisha ndungu
Milk powder ya maziwa ya ngombe au soya?
Yanatoka kwa mnyama au yanatoka wapi
Ladha yake ipoje mi sijawahi kunywaHii kitu iko sana kaka maana soya ndio maziwa pekee yasioyo na allergy kwa binadamu. Kuna watu kadhaa wako allergy na Lactose iliyoko kwenye maziwa ya wanyama tafuta kwa kugoogle. Benefit of Soya Milk, Hizi ni faida chache za maziwa haya
Ahsante
- It’s a good source of protein, vitamin A, vitamin B-12, potassium, and isoflavones, plus it can be fortified with calcium and vitamin D.
- It contains as much protein as cow's milk, yet is lower in calories than whole milk and about equal to the calories in 1 percent or 2 percent milk.
- It contains very little saturated fat.
[emoji39] [emoji39] [emoji39] matam et?Nilitembelea kikundi flani cha wakina mama wakanipa hayo maziwa na keki ya soya, kwakweli nilishiba!
Nilitembelea kikundi flani cha wakina mama wakanipa hayo maziwa na keki ya soya, kwakweli nilishiba!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] matam et?
[emoji39] [emoji39] utanionjesha japo kifuniko cha hyo chupa kabla ya kununua?Ni mazuri unatumia kama maziwa mengine kwa na ukijazoea hutaweza kuona tofauti na maziwa mengine ya wanyama. Mfano wakati naaza kutumia nyumbani kuwa baadhi ya watu walikuwa wanakataa kutumia kabisa wakisema hawawezi kunywa maziwa ya mimea sasa baadaye nikawa nawawekea kwenye chai au mtu akiomba maziwa unampa unaweka iliki na viongo vingine vya chai. Sasa siku unauliza ulingundua tofauti kati ya hayo uliyokunywa na maziwa ya ng'ombe wakabisha hayo waliyokunywa ni ya ng'ombe ndipo nilipojua kuwa hayana tofauti kubwa kama mtu anasema haya ni ya ng'ombe sio ya soya na hapo ndipo ulipokuwa mwanzo wa kuyatumia kwenye nyumba yetu bila issue. Na wageni tukawa tunawapa tuu wanasema maziwa matamu baadaye tunawaeleza ulioyokunywa ni maziwa ya soya. Na hapo nilipogundua kwamba kuna wakati tunaweza kukataa vitu kwasababu tu y fear of unknown au kujaribu kitu kipya nayo ni issue nyingine.