Kiteitei JF-Expert Member Joined Jan 14, 2009 Posts 1,600 Reaction score 1,575 Apr 29, 2014 #1 Ninafuga ndege aina ya kwale na wameanza kutaga,kwa wale wanaoitaji tafadhali twende pm, bei ya trei moja (mayai 30) ni shilingi 15,000 tuu, napatikana dsm tegeta, ahsante
Ninafuga ndege aina ya kwale na wameanza kutaga,kwa wale wanaoitaji tafadhali twende pm, bei ya trei moja (mayai 30) ni shilingi 15,000 tuu, napatikana dsm tegeta, ahsante
cerengeti JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 3,879 Reaction score 1,634 Apr 30, 2014 #2 Mkuu nitakutafuta. Weka namba ya simu
I igorya New Member Joined Oct 29, 2012 Posts 2 Reaction score 1 May 2, 2014 #3 Nimesikia mayai ya kwale ni tiba ya kisukari jamo hili lina ukweli ama?