Nahitaji mkuu... Waasi liana namba hii 0715 162225 asubuhi mapemanauza mayai yakuku wakienyeji try 12alfu.nakuletea mpaka ofisini kwako kuanzia try 10 nakuendelea.karibuni
Sidhani kama utapita muda bila kuambulia mitusi wewe!!!Nipo karatu arusha.ninampango wa kuanzisha ofic dar
Sidhani kama utapita muda bila kuambulia mitusi wewe!!!
Sidhani kama utapita muda bila kuambulia mitusi wewe!!!
hapana siitaji mayai. SaitaNi wewe unayeyatembeza kwa baiskeli? et Mura
ACHA UPUZI WE UNATAKA MAYAI AU BAISKELI?nipo karatu
Atakutumia kwa Mpesamoshi ntayapataje?
Ni wewe unayeyatembeza kwa baiskeyli? et Mura
ACHA UPUZI WE UNATAKA MAYAI AU BAISKELI?nipo karatu
neno "CUSTOMER CARE" halikuanzishwa tu ili liwepo na ndio maofisini zipo hizo idara,sasa mdomo tu kujibu kistaarabu ni nongwa??!!!
Unataka wewe au kuku?Nipo karatu arusha.ninampango wa kuanzisha ofic dar
kweli we nguruwe..acha utani kwa b/ashara yawatu.