Nauza Mayai ya kienyeji nipo mbeya

Nauza Mayai ya kienyeji nipo mbeya

kipusy

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
639
Reaction score
323
Nauza mayai ya kuku wa kienyeji. Ni mazuri kwa kula na kutotoleshea vifaranga. Kwani kuna majogoo yanayowapanda matetea muda wote.

Nipo mbeya mjini. Ukiwa unahitaji ni PM.
 
Nauza mayai ya kienyeji. Ni mazuri kwa kula na kutotoleshea vifaranga. Kwani kuna majogoo yanayowapanda matetea muda wote.

Nipo mbeya mjini. Ukiwa unahitaji ni PM.
Unauzaje mbona hujatoa bei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom