SOWETO_MAN
Member
- May 4, 2021
- 69
- 32
Habarini za muda huu wana jukwaa,,mhusika wa hii account nafanya biashara ya kuuza mayai ya kienyeji kwa bei ya rejareja kwa maana ya kwamba kwa sh.15,000/= tu wajipatia trei moja ya mayai, napatikana Dodoma na kwa mawasiliano zaidi piga 0621599120 karibuni sanaa!