Kaka kitomary hongera sana kwa kufungua watu,.kuna watu wanashangaa kusikia mayai ya blue alafu eti anajiita mjasiriamali alafu anatoa comment za ajabu badala ya kuomba msaada apewe ma ujanja.
Kaka hapa ukiambia watu kwamba BUKINi ni 150,000 watakimbia.
But thanks God serious buyers always huwa wana PM na then mnapiga kitu cha MOSHI yani pesa.
Be blessed amigo!