Nauza mayai trei Tshs.6350/

Nauza mayai trei Tshs.6350/

Bei nzuri Sana... Nitafute wiki ijayo mwishoni huwa nachukua trei 100 hadi 150 kila wiki.
 
December na January mlitutesa Sana hadi kufika 10,000
 
nakuletea kama ni trei zaidi ya 15. ila iwe sio mbali na kinondoni.
 
Me nahitaji ila ni kama trey 5 kwaajili ya familia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom