hizi ni tofari nzuri sana,material yake ni cement,mchanga na molamu iliyochenjuliwa,zipo aina 2 za machine za kufyatulia,moja ya umeme na nyingine ya mkono,mwenye kujua bei zake anisaidie,ikiwezekana na mawasiliano
Habari zenu waungwana, poleni sana na majukumu mnayofanya ya kulijenga taifa letu la Tanzania. Naombeni kwa yeyote yule anaejua tofali za interlock zinapouzwa ndani ya mkoa wa Tanga anijulishe na zinauzwa bei gani kwa tofali moja ninakusudia Tanga mjini.