Nauza mashuka orijino

Bei imechangamka mno. Elezea kidogo sifa za hayo mashuka mpaka yauzwe ghali hivyo. Yana sifa gani mf. Ukubwa, materials, durability n.k.
 
Bei imechangamka mno. Elezea kidogo sifa za hayo mashuka mpaka yauzwe ghali hivyo. Yana sifa gani mf. Ukubwa, materials, durability n.k.
Ukubwa ni 8 kwa 8
Pure cotton
Haya chuji wala kupauka
Foronya 4 shuka 2
 
Ukubwa ni 8 kwa 8
Pure cotton
Haya chuji wala kupauka
Foronya 4 shuka 2
Ongezea hizi sifa hapo juu kwenye tangazo ili mtu akisoma tu mara moja anapata picha kamili. Tangazo lako umelichapia tu kama ilivyo kawaida yetu.

Be a professional!

Be different!
 
Moja nitanunua Chef
 
Hi la kwanza veepee nikupe 30,000/-
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…