Nauza mashuka orijino

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,583
Reaction score
66,265
mambo vip wa dau

Mlisema nisitegemee mshahara tu nitafute kazi ya kufanya nyingine kama sio kufungua cafe basi nibuni kitu kingine haya nimekuja na hili hapa bei 50k 0774078650 text us ukitukosa jaribu wasp


Mkoani tuna tuma

Foronya nne

Hii
Makubwa sana

Ukubwa ni 8 kwa 8
Pure cotton
Haya chuji wala kupauka
Foronya 4 shuka 2
 
Hahahaha me kwenye bargain labda simu au bei elekezi kama madawa, vyakula, nauli,

Lakini nguo, kiatu, sandals aah nitapoishia mara nyingi wengi wanachukua πŸ˜‚

Nishamwambia nimpe 25k hataki ??
Hii imezidi mkuu yaani nusu kwa nusu sababu huchukui foronya πŸ˜‚πŸ˜‚ sibora upewe shuka moja foronya moja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…