Nauza mashudu ya alizeti

Nauza mashudu ya alizeti

mluhilamkuu

Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
50
Reaction score
25
Habarini wana Jukwaa
Baada ya kuanza kukamua Alizeti ili kupata mafuta ya kula, nimebakiwa na kiasi kikubwa cha Mashudu ya Alizeti kwenye kakiwanda kangu kaliyopo Wilayani Mpwapwa, Dodoma.
Kwa mhitaji wa Mashudu kwa wingi tuwasiliane kwa namba 0786 294545 ili tuongee biashara.
Karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom