Nauza mashine ya Maxmalipo

Nauza mashine ya Maxmalipo

Amoflo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
207
Reaction score
13
Kama unauhutaji wa mashine ya Maximalipo ninayo yangu Ila nabadilisha Biashara kwahiyo nimehamua kuiuza. Napatikana kwenye Whatsapp yangu 0778080031 karibu.
 
biashara huria ... laki 2 na nusu vp maana hpo haina float hio

Ingekuwa ni resonable price ndugu tungefanya Biashara.yes bila float Ila offer uliotoa ni ndogo Mkuu.
 
Kwasasa mpya bila float mdau inauzwa laki 6 ukiwa na mahitaji yote yanayotakiwa TIN ya Biashara na leseni ya Biashara
 
Tutawasiliana kaka kwenye namba yako tuongee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom