Nauza mashine ya kudarizi

mkaamweusi

JF-Expert Member
Feb 19, 2013
618
824
Nauza mashine ya kudarizi na kushona yaani inauwezo wa kushona na kudarizi
Ni rangi ya kahawia,aina ya Singer!

Inauzito kama kilo 7 mpaka 8

Inatumia umeme,japo unaweza kuamua sido wakuwekee itumie miguu tuu,

Inataa ndogo inayokuwezesha kutunga Uzi Hata kama ni usiku
Kizuri zaidi haihitaji miguu unaweka mezani na unaendelea na kazi yako,

Pia ni imara Sana, itarudisha mara mbili hadi tatu ya pesa iliyonunulia
Bei ni 250000 tuu!popote unatumiwa ndani ya Tanzania!
 
Mimi naitaka, ila piga picha kwanza alafu tuongee zaidi
 
Video inasumbua
 
Attachments

  • 1483035754833.png
    1483035754833.png
    88.3 KB · Views: 374
Chief mashine imeshauzwa?,nahitaji sana hiyo mashine ili niongeze kiwanda na kuunga sera ya chama cha kijani!!
 
Back
Top Bottom