Nauza mashine ya juice ya miwa. Iko Dodoma

Nauza mashine ya juice ya miwa. Iko Dodoma

Ngariba1

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
1,900
Reaction score
4,036
Ni mashine ya kuchonga (sio ya kichina). Yenye banda lake lenye droo za kuhifadhi vifaa na ina mwamvuli.

Ina roller mbili na ina tumia mafuta. Nimeitumia miezi miwili tu. Ni kama mpya tu.
20190410_211515.jpg
20190410_211551.jpg


Iko Dodoma mjini. Na inaweza safirishwa kokote.

Bei ni Mil.1.2

07*******

---------UPDATE---------
Mzigo umeshauzwa
 
Back
Top Bottom