T TEMBO WANGU JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 930 Reaction score 1,300 Jun 2, 2016 #1 Wakuu habari nauza mashine ya paspot size ya dk 3 na kamera digita ndogo Kwa shilingi laki tatu tu. kama Upo tayari tuonane. Mimi naishi kawe wilaya ya kinondoni, ngoja nifanye mpango wa kuweka picha hapa.Kwa Mawasilianooo zaiidi ni PM
Wakuu habari nauza mashine ya paspot size ya dk 3 na kamera digita ndogo Kwa shilingi laki tatu tu. kama Upo tayari tuonane. Mimi naishi kawe wilaya ya kinondoni, ngoja nifanye mpango wa kuweka picha hapa.Kwa Mawasilianooo zaiidi ni PM
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,341 Reaction score 15,842 Jun 2, 2016 #2 Mkuu nakuPM
maila majani Senior Member Joined Nov 24, 2014 Posts 110 Reaction score 11 Jun 2, 2016 #3 Tuwasiliane ndg