Nauza mahindi ya kuchoma

Nauza mahindi ya kuchoma

mand1312

Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
12
Reaction score
2
FB_IMG_1512651875648.jpg


Nauza mahindi mabichi kwa ajili ya kuchoma. Shamba lipo kilimanjaro ila mikoani tunaleta kutokana na order .

Kwa mawasiliano zaid
0713879793/ 0766532505
 
Ukiuza mabichi si ni hasara? Haya yanapatikana wap? Bei ikoje?
Hakuna hasara hapo, kama atachanga karata zake vizuri na wanunuzi wanaoelewa, na kama ni PANAR 4M19, Hayo ni safi Sana kwa kuchoma ni matamu Sana.
 
Hayo mahindi yakivunwa yanafika Dar baada ya wiki 2 ndiyo maana yanaliwa kwa ndimu na chumvi
 
Ukiuza mabichi si ni hasara? Haya yanapatikana wap? Bei ikoje?

Unapouza mabichi ndo unatengeneza faida
Kwa yeyote anayelima mahindi ya kumwagilia huwa anauza mabichi kwa akili ya kuchoma ndo faida inapatikana
Ila ukiacha yakauke ni hasara kubwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom