Nauza Mahindi Tsh. 600/Kg

Nauza Mahindi Tsh. 600/Kg

Hamidu Mindu

Member
Joined
Apr 14, 2017
Posts
38
Reaction score
27
Mahindi tani 400 ziko tabata warehouse zinauzwa bei Tsh. 600 / kg.

Available maize 400 tons at a tabata warehouse- Dar es salaam , price Tsh. 600/kg.

+255652601602 (whatsApp & call )
 
Naona umefanya JF ni kijiwe cha matangazo ya kuuza ungekuwa unatulipa sawa

Mara mbaaz,mahindi,maharage na hujawai kutulipa

Borapo ya ontario katoa M moja
 
Mahindi tani 400 ziko tabata warehouse zinauzwa bei Tsh. 600 / kg.

Available maize 400 tons at a tabata warehouse- Dar es salaam , price Tsh. 600/kg.

+255652601602 (whatsApp & call )
Wasiliana na Jamaa wa Chibuku Mkuu, wapo Ubungo. Wao wananunua unga wa dona. So, unawasagia na kuwakabidhi mzigo.
 
Mahindi tani 400 ziko tabata warehouse zinauzwa bei Tsh. 600 / kg.

Available maize 400 tons at a tabata warehouse- Dar es salaam , price Tsh. 600/kg.

+255652601602 (whatsApp & call )
600@kg??? . Nafanya packaging ya Unga Dsm leo nimenunua mahindi ya Dodoma 490@kg....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom