Teddy next time angalia namna bora ya tangazo ili usiwachoshe wanaohitaji kwanza heading yako ifanane na bidhaa unayotangaza pili weka full détails kama :aina ya bidhaa/ wingi wake/ mahali ilipo/ bei kwa kipimo usika / etc hii itafanya usiulizwe maswali mengi . wish u lucky