B bazahra Member Joined Mar 9, 2012 Posts 14 Reaction score 3 Nov 1, 2012 #1 Ninayo mafuta mengi ya alizeti toka Misr(Egypt), hayana cholesterol, yametengenezwa kwa standard za kimataifa.piga simu 0754261667 ajili ya biashar Attachments kip 001.jpg 254.8 KB · Views: 415
Ninayo mafuta mengi ya alizeti toka Misr(Egypt), hayana cholesterol, yametengenezwa kwa standard za kimataifa.piga simu 0754261667 ajili ya biashar
Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 131 Nov 1, 2012 #2 sema information zote bei, unapatikana wapi, na kama unaweza kudeliver mpaka maeneo gani
nkyalomkonza JF-Expert Member Joined Jun 18, 2012 Posts 1,154 Reaction score 444 Nov 1, 2012 #3 Tupende vya kwetu. Tuna mafuta mengi sana ya Alizeti kutoka Singida. sasa haya ya Misri si yangeuzwa hukohuko jangwani??
Tupende vya kwetu. Tuna mafuta mengi sana ya Alizeti kutoka Singida. sasa haya ya Misri si yangeuzwa hukohuko jangwani??
mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 Nov 2, 2012 #4 bazahra said: Ninayo mafuta mengi ya alizeti toka Misr(Egypt), hayana cholesterol, yametengenezwa kwa standard za kimataifa.piga simu 0754261667 ajili ya biashar Click to expand... funguka zaidi, litre moja sh ngapi? litre 3 sh ngapi? litre 5 sh ngapi? na bei ya jumla ikoje?
bazahra said: Ninayo mafuta mengi ya alizeti toka Misr(Egypt), hayana cholesterol, yametengenezwa kwa standard za kimataifa.piga simu 0754261667 ajili ya biashar Click to expand... funguka zaidi, litre moja sh ngapi? litre 3 sh ngapi? litre 5 sh ngapi? na bei ya jumla ikoje?
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,102 Nov 2, 2012 #5 Mi ninayo ya kutoka Kibaigwa Dom nimekamua mwenyewe dumu la lt.20 bei tsh.65000/= nina madumu 600 anae hitaji ani PM mafuta yapo Dar kwa sasa.
Mi ninayo ya kutoka Kibaigwa Dom nimekamua mwenyewe dumu la lt.20 bei tsh.65000/= nina madumu 600 anae hitaji ani PM mafuta yapo Dar kwa sasa.