Lalita Member Joined Jul 23, 2013 Posts 47 Reaction score 22 Sep 17, 2022 #1 Habari, Kwa yoyote anayehitaji hii machine, naiuza, ni yangu, nimeitumia kwa miezi miwili tuu, ni nzima kabisa, nauza kwa sababu nimekosa muda wa kusimamia, machine ipo Morogoro. Bei ni 1,600,000, kama utahitaji piga simu no. 0628015467 Attachments 20220820_101315.jpg 399.8 KB · Views: 27 20220820_101255.jpg 502.8 KB · Views: 26 20220820_101343.jpg 477.5 KB · Views: 28
Habari, Kwa yoyote anayehitaji hii machine, naiuza, ni yangu, nimeitumia kwa miezi miwili tuu, ni nzima kabisa, nauza kwa sababu nimekosa muda wa kusimamia, machine ipo Morogoro. Bei ni 1,600,000, kama utahitaji piga simu no. 0628015467
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,559 Reaction score 74,380 Sep 17, 2022 #2 Weka Pictures Full Size Tuone Ulizoweka Hata Hazionekani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,923 Sep 18, 2022 #3 Ahsante kwa taarifa...