Nauza line za uwakala

Nauza line za uwakala

Ninauza laini za uwakala.....iko ya tigopesa na mpesa....kila moja nauza kwa 150,000/=
Interested party njoo PM tufanye biashara
Niko Dar
Wadau nina hitaji haswaa hizo line lakini tatizo sina uelewa nazo nahofu maana town janja janja nyingiii
 
Back
Top Bottom