Nauza Line ya wakala M-pesa (SONGEA)

Nauza Line ya wakala M-pesa (SONGEA)

mkuu,kabla cjainunua,, hivi nikisha inunua itabd nianze kwenda kulipia tena TRA au itabd nianze kaz moja kwa moja??? naomba nijibu hayo maswalii,mimi ni mkazi wa mtaa wa mfaranyaki secondar huku, tunaweza fanya bussnea
 
Hakuna kwenda kulipia ndugu, ila ukitaka nikupatie na nyaraka nilizoombea hiyo line (copy)/zake nakupatia kwa maana ya TIN na Leseni
 
Punguza mkwanja tufanye biashara... acha mihemko ya bei... siku hizi ukiwa na leseni unaipata for free....

Then izo used usalama wake ni mdogo... may b ya wizi au unaniuzia nikitia pesa unaiswap...

Risk izo zoote nitakomaa nazo punguza mkwanja
 
Unaweza ukaomba kupunguziwa kwa lugha nzuri tu na kama ikiwezekana ukapunguziwa....yangu ina usalama maana ni kama unaipata kwa baba paroko nimesema atakayekuwa tayari hata copy za leseni na TIN nampa ili tu kumhakikishia na usalama zaidi, asante
 
Usithubutu kununua kabisa,kwani kwenye ubadilishaji wa jina ni mgumu sana ila jaribu kutafuta ya kwako toka kwa mawakala wakuu
 
mi nipo mbinga nilikuwa nahitaji hyo lain sema bado sijapata location nzur , bado nasearch
 
Usithubutu kununua kabisa,kwani kwenye ubadilishaji wa jina ni mgumu sana ila jaribu kutafuta ya kwako toka kwa mawakala wakuu
Ugumu wake ni nini mkuu?? Ulishawahi pata usumbufu?? Kama una copy ya TIN, Leseni usumbufu utoke wapi watu wanabadili kila siku mkuu!!
 
Nimefurah kuona kumbe watu wa songea tumejaa hapa JF.. Back 2 business mleta mada hiyo till unauza bei nafuu... Usikubal wakushushe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom