Hi all, nauza line ya uwakala tigopesa, serious buyer contact me, ni PM ,
Ipo chini ya super agent wa Dar, jina litabadilika baada ya wiki 2 na kuwa jina lako,...
Hi all, nauza line ya uwakala tigopesa, serious buyer contact me, ni PM ,
Ipo chini ya super agent wa Dar, jina litabadilika baada ya wiki 2 na kuwa jina lako,...
[h=2]Wizi kwa mawakala wa tigopesa - Mwizi akamatwa[/h]
Tahadhari kwa mawakala wote wa Tigopesa
Wezi kwa kushirikiana na wafanyakazi wa tigopesa wamekuwa wakiwaibia mawakala wa tigopesa kila kukicha. Wiki iliyopita maeneo ya Kimara mtu mmoja kwa Jina la Ally Abdallah alikamatwa baada ya kutoa pesa kwa kutuma msg hewa. Msg huoneka imetoka tigopesa kama kawaida ila inakuwa na makosa mengi ikiwepo number ya simu ambao wanakutumia namba yako ya uwakala, pamoja na tarehe feki na salio feki. Mtu huyu kwa Jina la Ally Abdallah ni hatari sana na ameiba sehemu nyingi kama dodoma na kwingineko. Ukitafuta kwenye mtandao utamkuta ila inaonekana kote amefanikiwa kuachia na police. Mwezi huu aliiba maeneo ya Kimara na akakamatwa na kupewa mkong'oto wa kufa mtu. Alipotaka kuchomwa moto wasamaria wema walimtetea asiuwahe. Na alipopelekwa kituo kidogo cha police Kimara - wanamtandao wenzako walienda kumchomoa haraka na sasa ametoweka. Sijui rushwa itaisha lini police. Picha za kitambulisho chake hiki hapa. Kuweni makini huyu jamaa ni hatari sana. Anashirikiana na wafanyakazi wa tigo kuiba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.