pettymarcel JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 2,161 Reaction score 883 Aug 1, 2014 #1 habar nauza line ya mpesa nipo moshi mwenye kuhitaji anijulishe kwa pm bei ni 180,000 tu
S shuhudia lihemla Member Joined Jul 12, 2014 Posts 61 Reaction score 17 Aug 1, 2014 #2 nkupe 150,000
pettymarcel JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 2,161 Reaction score 883 Aug 2, 2014 Thread starter #3 laki na 80 boss nauza hiyo line coz nimebadili biashara so sina muda wa kukaa chini kama.mwanzo
Jayll7 Senior Member Joined May 20, 2014 Posts 170 Reaction score 21 Aug 2, 2014 #4 Kwan line mpya inauzwaje wakuu
pettymarcel JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 2,161 Reaction score 883 Aug 2, 2014 Thread starter #5 nenda voda au kama utakuwa chini ya wakala nenda boisafi kwa moshi u wil get full info mkuu ya kwaku nilinunua lak saba miaka mitatu iliyopita sijajua kwa sasa
nenda voda au kama utakuwa chini ya wakala nenda boisafi kwa moshi u wil get full info mkuu ya kwaku nilinunua lak saba miaka mitatu iliyopita sijajua kwa sasa
J Joh666 Member Joined Aug 1, 2014 Posts 38 Reaction score 4 Aug 2, 2014 #6 Mkuu!@ Jay ukiweza idake hiyo. Mpaka uipate Voda ni baada ya miez kama mi2.. Kwa msaada chonga nae huyo jamaa.
Mkuu!@ Jay ukiweza idake hiyo. Mpaka uipate Voda ni baada ya miez kama mi2.. Kwa msaada chonga nae huyo jamaa.
H hanti Member Joined Nov 27, 2013 Posts 83 Reaction score 10 Aug 2, 2014 #7 Perpetua bado unayo hiyo line?
pettymarcel JF-Expert Member Joined Jun 17, 2012 Posts 2,161 Reaction score 883 Aug 3, 2014 Thread starter #8 line bado ipo wakuu