Nauza Line Tigo pesa.

Nauza Line Tigo pesa.

Likwanda

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Posts
3,926
Reaction score
1,159
Bei ni 750,000 tu, imesajiriwa na inatumika hapa Dar es salaam. Naiuza kwasababu nataka kubadilisha biashara kwa sasa, anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0713945665.
 
Hv hawa tigo wenyew wanajua kwel jinsi line zao zinavyolanguliwa au ndio biashara ilivyo
 
Mie nataka je unaweza kunipunguzia au


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
wakala wako mkuu ni nani au line yako imesajiliwa wilaya gani

Imesajiliwa ktk wilaya ya Ilala, maelezo mengine uliouliza ningependa tuwasiliane kama kweli unahitaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom