Nauza LG flat screen

wewe mkolomije ulieuziwa lg 43inch ile bei tena nyamaza kabisa wewe tena ni zaidi ya mkimboka,unaniona kwenye nyuzi za tv sana kwasababu najua tv nalala nazo naamka nazo nashinda nazo
inshort nakuona mshamba mno yani watu kama wew nilikuwaga nawaskia tu kumbe kweli mpo ndo maana nmeshangaa, yani unaingia kwenye thread ya watu alafu unaandka upuuzi
 
wewe mkolomije ulieuziwa lg 43inch ile bei tena nyamaza kabisa wewe tena ni zaidi ya mkimboka,unaniona kwenye nyuzi za tv sana kwasababu najua tv nalala nazo naamka nazo nashinda nazo

Kubishana na takataka km hii ni kupoteza mda tu, mtu huna pa kulala unalala kwny tv na kukesha JamiiForums.
Pimbi wee!
 
inshort nakuona mshamba mno yani watu kama wew nilikuwaga nawaskia tu kumbe kweli mpo ndo maana nmeshangaa, yani unaingia kwenye thread ya watu alafu unaandka upuuzi
nawewe hiyo tv yako copy punguza bei ungekua mjanja usingenunua hiyo tv
 
kitendo cha wewe kuweka picha inayoonesha ni mpenzi mtazamaji wa tbc kimenifanya niahirishe kununua......
hajalipia king'amuzi mkuuu,local channel zote wameondoa kaachiwa TBC tu 🤣 🤣 🤣 halafu jerry nakusaidia kupaisha uzi wako ninavyojibu jibu hizi comment ujue,ukipata mteja unikumbuke kwenye kamisheni yangu.
 
Mkuu..inaonekana una uzoefu na haya maswala ya electronics...Naomba kufahamu...kati ya hizo brands ulizozitaja..ipi chombo ni imara zaidi?..na bei za tv OG inch 32 kwa hizo brands ni bei gani?...Naomba keleweshwa mkuu.
 
nawewe ile tv yako huuzi ng'o labda usubiri mmakonde atoke ntwara uje unshkishe

[emoji3] huna hela dogo uzuri siuzii njaa, Nina tv ya 1.300.000 nina tv mpya ya 1.950.000 Halafu utajilinganisha na mm.
Hiyo hela inatosha kabisa kukulipia mahari kwa baba yako nikuoe
 
Mkuu..inaonekana una uzoefu na haya maswala ya electronics...Naomba kufahamu...kati ya hizo brands ulizozitaja..ipi chombo ni imara zaidi?..na bei za tv OG inch 32 kwa hizo brands ni bei gani?...Naomba keleweshwa mkuu.

Acha kuhangaika na huyu mdudu, keshakwambja bank ya posta kariakoo ipo mtaa wa Agrey huoni hata kariakoo hapajui?
 
Mkuu..inaonekana una uzoefu na haya maswala ya electronics...Naomba kufahamu...kati ya hizo brands ulizozitaja..ipi chombo ni imara zaidi?..na bei za tv OG inch 32 kwa hizo brands ni bei gani?...Naomba keleweshwa mkuu.
tv zote ni imara muhimu na cha kuzingatia tv iwe ORIGINAL inatosha,kuhusu bei mkuu bei zinatofautiana kulingana na wapi unanunua tv yako,wewe hakikisha tu tv ni ORIGINAL mengine kuhusu bei yanaongeleka.
 
Original naitambuaje mkuu..ebu nitoe tongotongo kwanza.
 
Muongo nn basi nielekeze kwenu nije na mshenga nikutolee posa Ndio utaelewa
nikuthibitishie uongo wako sasa hivi au nikuache maana naweza kukuumbua sasa hivi maana nyie wapenda sifa kusema vitu mlivyonavyo nawapendaga sana.
 
simple trick ambayo unaweza kutumia kwa kifaa chochote hata kama si tv,andika zile imei namba za kifaa chako kisha search google angalia results zitakazokuja,kama ukiandika imei za tv sony 32inch pcha itakuja ya hyo tv jina mpk na website yao.

ukiandika imei google kisha majibu yakaja tofauti na kifaa chako hapo jua unakaribia kununua mbuzi kwenye gunia kama ndugu yetu mwenye hii thread,kamata tu hilo kwasasa.
 
i swear ukifanikiwa tu kufikisha posa hapo mimi ntakupa shela ukamvishe bureee bila kusahau baby care
Matusi yanini mkuu?.kwenye uzi wa ULIANZAJE KUKAA GETTO ulikuja na story yako ya kuwa now unamiliki kiwanja, nyumba unaimalizia, biashara nyingi, gari 3......Getto lako haliendani na story uliyotupa..hadi king'amuzi umeshindwa lipia...Hahahahaha..itunze nakuja kuinunua hiyo TV.
 
Mkuu unaitambuaje og na fake?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…