anthony emanuel
Member
- Jun 20, 2014
- 11
- 0
Biashara ya laptop ni poua kabisa specification zake hard disk 1000GB,RAM 4GB na processor core i 3
baada ya kututajia bei.... cha msingi zaidi... ina vibali vyake vyote? je iko dukani? ni iliyotumika n.k? au ni baadhi ya mitaa hatupaswi kupita nayo au kuitumia?!!!
inabidi tumuulize maana siku hizi bado tungali tukinunua vitu vya mikononi iko siku vitatughalimu na tutatakiwa kujibu kichwa au mkono wa mtu uliokatwa wakati unyang'anyi unafanyika viko wapi!!!?:cool2:Maswali mazuri sanaaaa. Haswa la mwisho