Haifai kwa matumizi yote , mfano mimi ni mtu wa gamming sana na pia napenda ku edit videos kwa kutumia adobe premier na the rest (issue za rendering) u adhani kama haujaweka cpu na switchable graphics card ntajuaje kama inafaa?
Kiufupi ninataka kujua cpu , na gpu(ukiacha intel hd graphics unitajie kuanzia kampuni either AMD au NVIDIA pia usisahau uwezo wake kuanzia generation, nunber of threads , number of cores na visual ram ) kisha nikijiridhisha tutaongea biashara.