titho joel
Member
- Oct 1, 2019
- 13
- 3
nauza laptop aina ya dell core i3 ram gb 4 na internal storage gb 300 nipo magomeni kagera nichek namba 0715796040 jaman kama unaitaji picha nichek WhatsApp nakutumia
Ya kwangu mm ni mwanachuo
Kuna uhusiano gani kati ya kuwa mwanachuo na kutuma picha za PCYa kwangu mm ni mwanachuo
kama unataka picha njoo WhatsAppKuna uhusiano gani kati ya kuwa mwanachuo na kutuma picha za PC
Kuwa mwanachuo sio kigezo kwamba PC sio ya wizi. Tena huko ndio mnaibiana balaa. (Kwanza tunaamini vipi kuwa we mwanachuo)
Sent using Jamii Forums mobile app
ingekua vyema zaidi na ili tangazo lako ungeliweka uko uko wasapukama unataka picha njoo WhatsApp
hata mm nilitqmani kuweka picha ila nadhan shida ipo kwa simu yang hvy nimeshindwa kufanya aplodingIngekuwa vizuri picha na maelezo ya kutosha ungeweka hapa mana ndo umeamini utapata mteja, ila kama wateja unaamini utawapata wasapu basi wasubiri huko huko wasapu!