chukua 20000 nipe frash hiiSony 64 GB FlashView attachment 938996
Nauza Toshiba Lap top na Flash 64GB vyote kwa Tshs. 250,000/=
Lap top inahitaji kufanyiwa marekebisho madogo sana.
Nicheki kama upo serious uje ukague kabla ya kutoa pesa yako.
Niko Dodoma General Hospital.
Contacts: 0621-045144View attachment 938982View attachment 938983View attachment 938984View attachment 938985
Watu tunanunua Hp pavilion ram4gb processor core i 5 na HDD 500 pia iko flat sio tofali kama lako kwa laki 3 ww unauza ilo tofali kwa laki 2 na nusu yani kwa bei iyo upati mteja apo mtu kajikaza kununua kwa laki na nusu bac 150000/= tena hata hii umeurumiwa iyo bei yake 100000 kkoo iyo Pc..frash 25000 bei yake sasa ww unataka uza ilo tofali kwa 200000 na frsh 50000 upati mteja mzee punguza bei...Ukiweza kusogea mpaka 230,000 piga simu tufanye biashara
Watu tunanunua Hp pavilion ram4gb processor core i 5 na HDD 500 pia iko flat sio tofali kama lako kwa laki 3 ww unauza ilo tofali kwa laki 2 na nusu yani kwa bei iyo upati mteja apo mtu kajikaza kununua kwa laki na nusu bac 150000/= tena hata hii umeurumiwa iyo bei yake 100000 kkoo iyo Pc..flash 25000 bei yake sasa ww unataka uza ilo tofali kwa 200000 na frsh 50000 upati mteja mzee punguza bei...Ukiweza kusogea mpaka 230,000 piga simu tufanye biashara
Acha Lugha ya Dharau kwenye biashara, kama tumeshindwana bei ya nini Lugha ya kejeli, nimeweka Namba yangu ili tuwasiliane kama upo serious huo ndo ustaarabu ShekheWatu tunanunua Hp pavilion ram4gb processor core i 5 na HDD 500 pia iko flat sio tofali kama lako kwa laki 3 ww unauza ilo tofali kwa laki 2 na nusu yani kwa bei iyo upati mteja apo mtu kajikaza kununua kwa laki na nusu bac 150000/= tena hata hii umeurumiwa iyo bei yake 100000 kkoo iyo Pc..flash 25000 bei yake sasa ww unataka uza ilo tofali kwa 200000 na frsh 50000 upati mteja mzee punguza bei...
Ok sorry bhac.Acha Lugha ya Dharau kwenye biashara, kama tumeshindwana bei ya nini Lugha ya kejeli, nimeweka Namba yangu ili tuwasiliane kama upo serious huo ndo ustaarabu Shekhe
Laki moja laptop ?Watu tunanunua Hp pavilion ram4gb processor core i 5 na HDD 500 pia iko flat sio tofali kama lako kwa laki 3 ww unauza ilo tofali kwa laki 2 na nusu yani kwa bei iyo upati mteja apo mtu kajikaza kununua kwa laki na nusu bac 150000/= tena hata hii umeurumiwa iyo bei yake 100000 kkoo iyo Pc..frash 25000 bei yake sasa ww unataka uza ilo tofali kwa 200000 na frsh 50000 upati mteja mzee punguza bei...
Ila mwanangu msipende kukatisha tamaa.watuWatu tunanunua Hp pavilion ram4gb processor core i 5 na HDD 500 pia iko flat sio tofali kama lako kwa laki 3 ww unauza ilo tofali kwa laki 2 na nusu yani kwa bei iyo upati mteja apo mtu kajikaza kununua kwa laki na nusu bac 150000/= tena hata hii umeurumiwa iyo bei yake 100000 kkoo iyo Pc..frash 25000 bei yake sasa ww unataka uza ilo tofali kwa 200000 na frsh 50000 upati mteja mzee punguza bei...
Oyaa mkuu zakuambiwa changanya na zakoLaki moja laptop ?